Blogger Widgets

April 20, 2014

Model Anayekik Sasa Hivi kwa Kenya na Mwenye Mvuto Kila Siku ni Huyu. Corazon Kwamboka

Screen Shot 2014-03-16 at 10.58.03 PM
She has been on everyone’s lips after her photos went viral on social media. Corazon Kwamboka is the newest socialite in town, and she’s giving Vera Sidika a run for her money.
She is heavily endowed and does not shy to make suggestive poses.
Kwamboka is a lawyer, having graduated last year from the University of Nairobi. After all the exposure from blogs, I doubt she’ll be practicing. It’s more likely she’ll go into show business.
CPRA1CPRA5CPRA3CPRA2cpra
kwamboka3

Story Mpya Iliyoibuka Juu ya Milllion 13 za Wema Sepetu za Kumsaidia Kajala Kuepushwa na Kwenda Gerezani


Siri zimezidi kuvuja juu ya uhasama baina ya mastaa wawili wa kike bongo. Miss tanzania 2006. Wema sepetu na kajala masanja. Ambapo inaelezwa kuwa kiasi cha pesa sh.mil 13. Ambazo wema alimlipia kajala kumuokoa na hukumu ya kwenda jela katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar hazikuwa zake.

kwa mujibu wa watu wa karibu na mastar hao Wema hakuwa na jeuri ya kutoa fedha hizo ndio maana familia ya mrembo huyo ilionyesha mshtuko mkubwa kwa binti yao kutoa pesa za bure kwa mtu baki kama kajala.
Habari zaidi zimesema kwamba kabla wema hajatoa pesa hizo alimpigia simu mfadhili huyo na kumueleza kilichokuwa kinaendelea mahakamani hapo ambapo aliruhusu pesa kutolewa.


kama pesa hiyo ingetoka mfukoni mwa wema basi familia yake akiwemo mamake asingeweza kumwacha bila kumuhoji bint yake.lakini mama wema alieleweshwa hali ilivyo na ndio maana akatulia.pesa ilitolewa na kigogo huyo ambaye sasa anatoka na kajala.
Aidha mtoa habari huyo alidai kwamba kabla ya wema kumsaidia Kajala mil.13 hakuwahi kutoa msaada wowote wa kifedha zaidi ya kula ubwabwa na watoto yatima.

Watu Wambea:Sijui wamezitoa wapi hizi picha za maandalizi ya Kitchen Party
Soma Chanzo cha Ugomvi wa Kati ya Steve Nyerere na Msani wa Kike Batuli

Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ na mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ wameingia kwenye bifu zito baada ya kutofautiana katika makubaliano ya kikazi.

Kwa mujibu wa chanzo makini, hivi karibuni wawili hao waliingia kwenye mabishano wakati Steve Nyerere alipokuwa akiandaa .

 filamu yake mpya iitwayo Get Out ambapo alipaswa kumshirikisha Batuli.
Ilisemekana kwamba jamaa huyo alipompigia simu, mwanadada huyo alichomoa baada ya kuona makubaliano ya kifedha hayazungumziwi.
 “Batuli alipohoji kuhusu malipo, Steve hakuweka wazi ndipo mambo yalipoharibika, kikanuka kisha Batuli akamvaa kwa maneno kiongozi huyo na kudai hana sifa za kuwa kiongozi,” kilisema chanzo chetu.
 Ili kujiridhisha na madai hayo, mwanahabari wetu alimwendea hewani Batuli ambapo alipatikana na kukiri kuwa ametofautiana na Steve chanzo kikiwa ni filamu hiyo.


“Aliponipigia simu nilimwambia sitaweza kwenda kushuti kwa sababu hakuna makubaliano yoyote tuliyofanya ikiwemo gharama, usafiri, mavazi na vinginevyo ndipo akamaindi na kuanza kulaumu na kisha kukata simu,” alisema Batuli.

 Ishu haikuishia hapo, taarifa zinadai kuwa baada ya Steve kutofurahishwa na majibu ya Batuli, aliendelea kumtumia meseji za kumlaumu ndipo Batuli alipochachamaa zaidi kwa kujibu mashambulizi.

Tazama Picha zote Hapa Jinsi Harusi na Producer P Funk Ilivyofungwa na Bi Dada Hidaya

Mashallah Mr & Mrs Majani 
Mrs Majani aka Hidaya akiwa na kichuna chao
 Maharusi mara baada ya kufunga ndoa yao

Picha zilizozua Gumzo kati ya Mwanadada V-Beiby na Prezoo kwenye Utengenezaji wa video ya Prezzo ni Hizi Hapa

http://distilleryimage2.ak.instagram.com/100cfda4bfb511e39bdd0002c954d6b6_8.jpghttp://distilleryimage10.ak.instagram.com/cdf3536ec25211e3ad3b0002c9c7b11e_8.jpghttp://photos-g.ak.instagram.com/hphotos-ak-ash/1170031_280211378821806_283267401_n.jpghttp://distilleryimage0.ak.instagram.com/ada9b562bd9d11e38b2f12a6581763c0_8.jpghttp://photos-a.ak.instagram.com/hphotos-ak-frc/1516422_651146631623064_1126385689_n.jpghttp://photos-h.ak.instagram.com/hphotos-ak-ash/1889202_264972640348383_149664941_n.jpg


http://distilleryimage6.ak.instagram.com/f297631ac14c11e39ef80002c9d98f6a_8.jpg

Soma Hii story Iliyomake Headline Kati ya Drake na Rihanna

 
Drake na Rihanna wanaendelea kushibana na penzi lao linachanua huku wakiripotiwa kuwa na mpango wa kuishi pamoja.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Star, chanzo kimoja kimeeleza kuwa Drake amemnunulia Rihanna zawadi ya pete ya almasi yenye rangi ya njano yenye thamani ya $42,000 (sawa na 68,712,000/-).
Hata hivyo imeelezwa kuwa pete hiyo sio ya uchumba.
“Rihanna aliikubali zawadi hiyo kama ishara ya mapenzi ya Drake. Sasa hivi (Drake) anabadili hata ratiba zake ili atumie muda mwingi ipasavyo kuwa na Rihanna.” Kilieleza chanzo hicho.

Baadahi ya Picha ya Maajabu yaliyojili kwenye Mechi kati ya Simba na Yanga


AKINA DADAHAWA WA YANGA WALIANGUKA NA KUZIMIA WAKATI WA PAMBANO LA WATANI WA JADI
SHABIKI ALIECHUKUA TAULO LAKIPAWA SIMBA IVO MAPUNDA SASA ANAJITAYARISHA KULILUSHA KWA MASHABIKI WA YANGA


SHABIKI WA YANGA BADA YA KUFANIKIWA KUIBA TAULO  YA KIPA WA SIMBA IVO MAPUNDA AKIWA CHINI YA ULINZI  MKALI 


SHABIKI HUYO BADA YA KULICHUKUA AKIELEKEA KWA MASHABIKI HUKU AKIANGALIA KULIA KAMA KUNA POLISI


SHABIKI HUYO BAADA YA KULICHUKA TAULO LA KIPA WA SIMBA IVO MAPUNDA ANAWAPEKEA MASHABIKI WA YANGA NA KUWATUPIA TAULO HILO

April 18, 2014

Soma Sababu Inayomfanya Mrisho Mpoto Kutembea Peku Popote Alipo

Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto amedai kuwa ajisikii vizuri pindi anapo vaa viatu kutokana kudai kuvaa viatu kuna athiri utendaji wa kazi zake.
Mpoto akiwa na gari ambalo alikataa kuzungumzi chochote
Mpoto akiwa na gari ambalo alikataa kuzungumzi chochote
Mpoto ameiambia bongo5 kuwa amesemwa sana kuhusu tabia ya kuto vaa viatu lakini ameshindwa kubadilika.
“Beauty yoyote ipo kwenye jicho,unapozungumzi Mrisho Mpoto kuwa peku ,sehemu nyingi sana,mara nyingi sana watu wananiona peku, ni kwa sababu ya kutafuta energy ,unajua energy ya mimi kuendelea kuishi inapatikana kwenye udongo,yani ngozi yangu inapokutana na ardhi nakuwa so (confident) na nakuwa Mpoto, zaidi na nguvu na nakuwa na akili ,sasa sipendi wakati mwingine kuwa fake,najitaidi sana kuwa wakisasa ila nakuwa nasahau,kwamfano naweza nikanunu kiatu cha gharama alafu nikakisahau kwenye ndege au kwenye basi kwasababu siyo kawaida yangu kuvaa viatu, nisha jaribu lakini nimeshapoteza vingi,kwasababu siyo culture yangu kuvaa viatu ,viatu navaaga kwasababu watu wananisema.kwaiyo nikivaa ninakuwa kama inanisumbua, nikaona kama bora niache,alafu nakuwa siko huru,ukinikuta nimevaa viatu alafu tukaanza kufanya mazungumzo nakuwa siko huru kwasababu nakuwa nipo kama naelea hewani,yani kama sina chaji,kwaiyo kwangu mimi ardhi ni kama plug ya mwili wangu,nikikanyaga chini wewe niulize chochote nitakujibu niambie niandike shairi la haina yoyote,mimi ata nikiandika nyumbani kwangu lazima niweke miguu kwenye mchanga,ata nyumbani kwangu hakuna mchanga mimi ninabeseni kabisa la michanga,kwajili tu yakukanyaga yani nikiandika nakuwa confidant ata nikiandika nakuwa na amani”Alisema Mpoto
Mpoto akiwa uwanja wa ndege Dar es salaam akirejea toka Dubai
Mpoto akiwa uwanja wa ndege Dar es salaam akirejea toka Dubai

picha Jinsi Mainda alivyoangusha Kilio kanisani Kwa Madai Waandishi Wamemharibia Sifa Yake Mbele Ya Jamii.

Star mkubwa wa filamu nchini Mainda anadaiwa kuangua kilio ‘laivu’ kanisani kisa kubanwa na waandishi wa Global Publishers juu ya madai ya kupora waume za watu na ishu ya kutaka kuolewa na mchungaji hivyo kuzua ‘kitimbwili’ kwenye nyumba hiyo ya Mungu.
Mainda akilia
                                                 ENEO LA TUKIO
Timbwili hilo la aina yake lilijiri kwenye Kanisa la Kiroho la Huduma ya Inuka Uangaze lililopo maeneo ya Sinza-Lion jijini Dar hivi karibuni baada ya waandishi wetu kutinga kanisani hapo kwa lengo la kuzungumza na mchungaji wake aliyetajwa kwa jina la Mwamposa.
Ishu kubwa ilikuwa ni kujua undani wa skendo iliyoenea mjini kuwa, Mainda anadaiwa kukwapua baadhi ya waume wa waumini wa kanisa hilo na kwamba yupo kwenye maandalizi kabambe ya kufunga ndoa na mchungaji.

ANAJIPENDEKEZA KWA WAUME ZA WATU?
Ilisemekana kwamba madai hayo yalirushwa na baadhi ya waumini ikidaiwa kuwa Mainda amekuwa na tabia ya kujipendekeza kwa baadhi ya waume za watu huku wengine wakidai anataka kuolewa na mchungaji.

MCHUNGAJI AFUNGUKA
Waandishi wetu walipozinyaka habari hizo ambazo zilizua gumzo kwa baadhi ya watu hasa kwenye mitandao ya kijamii, walifunga safari hadi kanisani hapo ili kuzungumza na mchungaji huyo baada ya Mainda kukataa kupokea simu ya mapaparazi ambapo alipopatikana mchungaji huyo alifunguka anachokijua juu ya skendo hiyo.

“Mainda ni binti kama mabinti wengine ninaowalea kiroho hapa kanisani na amekuwa akijituma sana.
“Mainda ni tofauti na waumini wasanii wengine labda ndiyo sababu ya watu kumchafua.
“Kuhusiana na ukaribu na waume za watu ni uongo, hao wanaoeneza habari hizo wana nia ya kumchafua kabisa kwa sababu wameona ametoka eneo lile na kumfuata Mungu,” alisema baba mchungaji huyo.